Sshhhh,classic classic.. Keeping the good music alive, That’s me job, You my sunshine my moonlight and everything I dream about, Linah let’s go.. Yalaiti,napenda pasi kifani Tofauti,sikutilii moyoni Sikuachi,leo na kesho peponi Anh anh anh anh anh anh I love you Yalaiti,napenda pasi kifani Tofauti,sikutilii moyoni Sikuachi,leo na kesho peponi Anh anh anh anh anh anh I love you Sambaza love kama dawa huachi mpaka napagawa hata ukisema mi sio Hamis natingisha kichwa mapenzi yako yanielemea ka chupa nzima ya tequila usirushe somo nakupenda acha masihara ina haja gani unishikie fimbo ili nikuskize ka gorilla mi ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela una matatizo najua,na mi nna yangu boo we sit together from this moment,we see them through nikikukosea nisute,nipige vibao,nizodoe ninunie kwa siku kadhaa ila nnachoomba usinikimbie mapenzi ya utemi kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo ukiniudhi ntapiga kwa khanga ndio nimefunzwa hivyo utaoga mabusu nikufute kwa kumbatiompaka kama nikisafiri ukinikumbuka iwe kilio sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza mi nna biashara na wewe.. B . Yalaiti,napenda pasi kifani Tofauti,sikutilii moyoni Sikuachi,leo na kesho peponi Anh anh anh anh anh anh I love you Yalaiti,napenda pasi kifani Tofauti,sikutilii moyoni Sikuachi,leo na kesho peponi Anh anh anh anh anh anh I love you Nshasema sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza mi nna biashara na wewe ushaangaliwa niunge tela usingoje mpaka uambiwe ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe kwako ntakuwa Bushoke sitajiuliza ka zezeta yetu yawe mahaba mapenzi zamani tumepita mi sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali una moyo wangu ntapenda bila kujalihata marefa wana timu zao mama panga matokeo pambano lianze najua goli ngapi ngapi leo usiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini achia vicheche mwanamke kwetu staha tunaovipenda sio wote akili haziuwezi moyo na wenyewe una ubongo pia hauwezi ukafuatafuata kila utakachouambia nitajiwapo mapenzi naipata picha yako kwanza natamani uipate yangu na iwe inakuliwaza Linah.. Toa shaka na wasiwasi moyoni Toa shaka na wasiwasi moyoni Kukuepuka hilo haliwezekani Takushika,leo na kesho peponi
File download Mp3 Full Album kami compres menggunakan rar dan disimpan melalui hosting 4shared.com dan mediafire.com, file rar tidak menggunakan Password. How To Download